Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Watu wa Gaza katika Mkoa wa Khan Yunis walisimamisha Swala ya Ijumaa katika sehemu salama ya Msikiti huo ambao ni moja ya Misikiti iliyoharibiwa kwa kulipuliwa na Wazayuni.
23 Septemba 2024 - 05:19
News ID: 1487372