Wizara ya Afya ya Lebanon imetangaza kuwa watu wasiopungua 356 waliuawa Shahidi na wengine 1246 kujeruhiwa kufuatia mashambulizi ya anga ya ya Siku ya Jumatatu ya utawala wa Kizayuni Kusini mwa nchi hiyo. Kuongezeka kwa idadi ya Mashahidi ilifanya Jumatatu kuwa siku mbaya zaidi nchini Lebanon tangu mwaka mmoja uliopita.

24 Septemba 2024 - 16:52