Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Sambamba na kuwasili kwa "Wiki ya Umoja wa Kiislamu", sherehe kubwa ya kuzaliwa Mtume wa Uislamu (s.a.w.w) na Imam Sadiq (a.s) ilifanyika katika Kituo cha Kiislamu cha Uingereza.
24 Septemba 2024 - 18:57
News ID: 1488242