Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Watu wa mji wa "Magam" wamelaani mauaji ya Katibu Mkuu wa Hezbollah ya Lebanon kupitia jeshi la Kizayuni, kwa kufanya maandamano na kushikilia picha za Shahid Syed Hassan Nasrullah.
3 Oktoba 2024 - 20:28
News ID: 1491347