Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s), - ABNA- Sala ya Ijumaa ya Kidini na Kisiasa imesaliwa wiki hii kwa kuhudhuriwa na idadi kubwa ya wapenzi na wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) chini ya Uongozi wa Hojjatul Islami wal Muslimin Mohseni, katika Msikiti mkubwa wa Hazrat Khatam-ul-Anbiya (amani iwe juu yake) Mashariki mwa Kabul, Mji Mkuu wa Afghanistan.

5 Oktoba 2024 - 16:09