Kulingana na Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Msichana mdogo (Kiumri) wa Gaza, alimbeba dada yake aliyejeruhiwa mabegani mwake kwa zaidi ya kilomita mbili (akitafuta namna ya kumfikisha eneo atakapoweza kupata walau msaada wa matibabu).
23 Oktoba 2024 - 18:27
News ID: 1497649