source : Abna
Jumanne
19 Novemba 2024
16:36:07
1506137
Video | Maandamano makubwa ya watetezi wa Gaza na Lebanon katika mji mkuu wa Denmark
Kulingana na Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Wafuasi na watetezi wa Upinzani (Muqawamah) huko Gaza na Lebanon waliandamana katika mji mkuu wa Denmark.