Main Title

source : Abna
Jumamosi

7 Desemba 2024

14:49:01
1511758

Video | Maombia ya kupata Scuff / (Kitambaa) ya Maombolezo yaliyotolewa na muombolezaji wa Lebanon, akimwomba Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kumpatia Kitambaa hicho, ambayo yalichapishwa sana katika anga ya Mitandao ya Kijamii

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) -ABNA- Ombi la kupatiwa Scuff / Kitambaa kwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kutoka kwa muombolezaji wa Lebanon aliyehudhuria katika Husseiniyyah ya Imam Khomeini (r.a) kwa ajili ya kushiriki katika Majalisi za Siku za Fatimiyyah, limechapishwa kwa wingi sana katika mitandao ya Kijamii.