Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s), Mashia na Wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s) walisherehekea siku ya kuzaliwa kwa Amirul-Muuminina Imam Ali (a.s) katika Kituo cha Kiislamu cha Ahl al-Bayt (a.s) katika Mji wa "Canberra", Mji Mkuu wa Australia.
12 Januari 2025 - 18:13
News ID: 1522323-