source : abna.ir
Jumatano
12 Oktoba 2016
20:24:16
785085
Habari MuhimuMatukioHabari za AmerikaPichaHistoriaMourining of Imam Hosseinasura mystery of creation
Waislamu wa Marekani wakiomboleza kifo cha mjukuu wa mtume Muhammad
Hizi ni picha za waislamu wa dhehebu la shia wakiomboleza tukio la kifo cha Husein ambaye ni mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w aliyeuawa na maswahaba waovu wa mtume huyo mnamo mwaka wa 61 hijria sawa na mwaka 680.