-
Wanafunzi wa Kike wa Madrasa ya Hazrat Zaynab (a.s.) Wafanya Safari ya Mapumziko na Burudani Fun City Dar es Salaam +Picha
Wanafunzi wa kike wa Madrasa ya Hazrat Zaynab (a.s.), Kigamboni, Dar es Salaam, walifanya safari ya siku moja ya mapumziko katika kituo cha burudani cha Fun City tarehe 15 Juni 2026, ambapo walishiriki michezo mbalimbali, kula pamoja na kuswali Swala za Adhuhuri na Alasiri, kwa lengo la kurefresh akili, kuimarisha mshikamano na kujenga afya ya kiakili na kimwili.
-
John bin Huway (r.a): Mtumwa Mweusi Aliyeandika Historia ya Uaminifu kwa Imam Hussein (a.s)
Miongoni mwa mashujaa waliotukuka katika tukio la Karbala yupo John bin Huway (r.a.), ambaye historia yake inaonyesha wazi kwamba mbele ya Mwenyezi Mungu heshima ya mtu haipimwi kwa rangi, kabila wala hadhi ya kijamii, bali kwa imani, uchamungu na uaminifu kwa haki.