Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt(a.s) - ABNA - hafla ya maombolezo ya usiku wa kwanza wa Muharram ilifanyika katika Kituo cha Kiislamu cha Imam Hussein (a.s) katika mji wa "Bell" katika jimbo la "California" nchini Marekani, ambapo wafuasi wengi wa Madhehebu ya Shia walihudhuria kwa wingi.

9 Julai 2024 - 09:20