Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt - ABNA - Wanawake na Mabinti wa Kitanzania walionesha jukumu lao katika kumfuata Hadhrat Zainab (sa) na Kaka yake Hadhrat Imam Hussein (as) kwa kuliweka hai (kulihuisha) Tukio la Karbala. Wamethibitisha kwamba njia ya Hadhrat Zainab (sa), ambayo ni njia ya busara na ubinadamu, itaendelea.
17 Julai 2024 - 21:32
News ID: 1472748