Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - maandamano ya amani ya Maombolezo ya kuuawa kishahidi Imam Hussein (a.s) yalifanyika katika eneo la "Sughanli" huko Tbilisi, Mji Mkuu wa Georgia, mbele ya Msikiti wa Ahlul-Bayt (a.s) uliopo katika Mji huu; ambapo Maulamaa na Waheshimiwa katika Jumuiya ya Mashia wa Georgia walihudhuria katika maandamano hayo ya Maombolezo.
18 Julai 2024 - 14:04
Msimbo wa Habari: 1472838