Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (a.s) - ABNA - Hafla za maombolezo ya Shahadat ya Imam Sajjad (a.s) na usiku wa tatu wa kuuawa kishahidi Imam Husein (a.s) zilifanyika katika Kituo cha Kiislamu cha Moscow, Mji Mkuu wa Urusi.
20 Julai 2024 - 13:00
Msimbo wa Habari: 1473219