Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Hafla za Maombolezo ya kuuawa Kishahidi Imam Hussein (a.s) zilifanyika kila Usiku katika Mwezi wa Muharram kwa kuhudhuriwa na wafuasi wengi wa Madrasa ya Ahlul-Bayt (a.s) katika Kituo cha Kiislamu cha Brazil, katika Jiji la Sao Paulo la nchi hii.
28 Julai 2024 - 14:32
News ID: 1474898