Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (AS) - ABNA - Mashambulizi ya Kikatili ya Jeshi la Kizayuni katika Mji wa Khan Yunis, ulioko Kusini mwa Ukanda wa Gaza, yanaendelea na watu wengi wakiwemo Watoto na Wanawake wanauawa na kujeruhiwa.
3 Agosti 2024 - 09:59
Msimbo wa Habari: 1476259