Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Hafla ya ukumbusho wa Shahidi "Fuad Shukr" mwenye lakabu ya "Sayyid Muhsin", Kamanda Mkuu wa Hezbollah nchini Lebanon, iliyoambatana na Hotuba ya Hujjat al-Islam na Muslimina, "Sayyid Hassan Nasrullah", Katibu Mkuu wa Harakati hii, ilifanyika huko katika katika Uwanja wa Hazrat Sayyid al-Shuhada (a.s) ndani ya viunga vya Kusini mwa Beirut, Mji Mkuu wa Lebanon.

7 Agosti 2024 - 14:35