ABNA swahili
  • HABARI KAMILI
  • HABARI MUHIMU
  • Iran
  • ASIA
  • ULAYA
  • AMERIKA
  • AFRIKA
  • PICHA
  • MAKALA
العربية English فارسی Türkçe اردو Español bahasa Indonesia हिन्दी français 汉语 русский Deutsch Melayu Hausa বাংলা Азәрбајҹан Азәрбајҹан әлифбасы Kiswahili မြန်မာဘာသာ bosanski português سورانی 日本語 Kurmancî Pilipinas Тоҷик italiano 한국어
×
  1. Kurasa kuu
  2. service
  3. Habari Muhimu

Habari Pichani | Mapokezi ya Mazuwwari wa Arbaeen Husseini na Jimbo la Quds Alavi

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Jimbo la Quds Alavi lilianza kuwapokea Mazuwwari wa Arbaeen ya Husseini kwa kuwagawia milo (chakula) katika sehemu 15. Zaidi ya milo 250,000 inasambazwa kila siku kwa Mazuwwari wakati wa Arbaeen ya Husseini na watumishi wa Jimbo hili la Quds Alavi.

11 Agosti 2024 - 12:41
Msimbo wa Habari: 1477911
Sauti ya Mashia wasio na Vyombo vya Habari.
Desktop version Mobile version

Nukuu ya "Maudhui" inaruhusiwa bila kutaja chanzo

Nastooh Saba Newsroom