Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Hafla za Maombolezo ya kuuawa Shahidi kwa Imam Hussein (a.s), zimefanyika kwa mahudhurio ya idadi kubwa ya Mashia katika Kituo cha "Ustawi wa Muhammadn" Mjini Sydney, Australia.
15 Agosti 2024 - 12:38
Msimbo wa Habari: 1478806