Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Idadi kubwa ya raia wa Canada huko Toronto wamelaani vikali mauaji ya halaiki ya Wazayuni huko Gaza na kutaka kusitishwa mara moja kwa mauaji hayo na vita hiyo.
19 Agosti 2024 - 13:04
Msimbo wa Habari: 1479406