Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Ofisi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, imeanzisha (Maukib) Msafara wa kuwahudumia Mazuwwari wa Arbaeen ya Imam Hussein (a.s) katika njia ya watembea kwa miguu kutoka Najaf hadi Karbala.
20 Agosti 2024 - 20:26
Msimbo wa Habari: 1479637