Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlu-Bayt (a.s) - ABNA - Sheikh Ibrahim Zakzaky, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, amelitembelea Kaburi la Imam Hussein (a.s) Siku ya Jumanne (Tarehe 30 Agosti).
21 Agosti 2024 - 17:00
Msimbo wa Habari: 1479829