Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlu-Bayt (a.s) - ABNA - Mkutano wa Kimataifa wa "Arbaeen ya Hussein; Umoja wa Hussein" umefanyika kwa kuhudhuriwa na kundi la Wanafikra, Wataalamu, Wasomi na Wanaharakati wa Kimataifa na kwa juhudi za Naibu wa Kimataifa wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt (amani iwe juu yao) pamoja na Katibu wa Sayyid Zaman Hussein huko katika Mji wa Karbala al_Mualla'.

22 Agosti 2024 - 13:15