Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Maandamano ya kuunga mkono Palestina yalifanyika katika Matembezi ya Arbaeen yakihudhuriwa na Mazuwwari kutoka nchi mbalimbali ambapo Mazuwwari hao walionyesha mshikamano wao na sapoti yao kwa watu wanaodhulumiwa wa Gaza.
24 Agosti 2024 - 13:39
Msimbo wa Habari: 1480297