Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Siku ya Arbaeen, Wafuasi na Wapenzi wa Imam Hussein (a.s) waliomboleza Shahada ya Bwana wa Mashahidi kwa mkusanyiko wao mkubwa katika Msikiti wa Shule ya Soltaniyya huko katika Mji wa Mazar-e-Sharif, Afghanistan.
26 Agosti 2024 - 18:58
Msimbo wa Habari: 1480860