Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Idadi kubwa ya Mashia, wamehudhuria katika maombolezo ya Arbaeen ilifanyika katika Kituo cha Fatimiyya katika Mji wa Adelaide Kusini mwa Australia.
26 Agosti 2024 - 19:02
Msimbo wa Habari: 1480868