Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Idadi kubwa ya Mashia wa Myanmar, wamehudhuria na kushiriki katika maandamano ya maombolezo ya Arbaeen yaliyofanyika katika Msikiti wa Shia huko Maulamin, Myanmar na wakati huo mvua kubwa ikiwa inanyesha.
27 Agosti 2024 - 19:48
Msimbo wa Habari: 1481163