Kulingana na Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Raia wa Iraq wanawakaribisha na kuwakirimu Mazuwwari wa Arbaeen ya Imam Hussein kupitia Mawakib mbalimbali (ya Khidma) kwa Mazuwwari.
27 Agosti 2024 - 19:53
Msimbo wa Habari: 1481175