Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Idadi kubwa ya Mashia, wamehudhuria katika Marasimu ya Maombolezo ya Arbaeen ya Imam Hussein (a.s) yaliyofanyika katika Kituo cha "Five Ton" kilichopo huko Sydney, Australia.
28 Agosti 2024 - 16:58
Msimbo wa Habari: 1481360