Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Marasimu ya Maombolezo ya Arbaeen ya Hussein yalifanyika katika "Kituo cha Elimu ya Kiislamu" huko Maryland, Marekani, kwa madhuhuri makubwa ya Mashia na Wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s).
29 Agosti 2024 - 18:44
Msimbo wa Habari: 1481676