Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Hafla ya Maombolezo ya Arbaeen ya kuuawa Shahidi Imam Hussein (a.s) ilifanyika kwa kuhudhuriwa na kundi kubwa la Wafuasi wa Shule (Madrasat) ya Ahlul_Bayt (a.s) katika Kituo cha Kiislamu cha Amerika; katika Mji wa "Dearborn" katika jimbo la "Michigan" la nchi hiyo.
29 Agosti 2024 - 18:50
Msimbo wa Habari: 1481677