Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Hafla ya Maombolezo ya kumbukumbu ya Kifo cha Mtume Muhammad (s.a.w.w) ilifanyika Kargil, India, kwa kuhudhuriwa na Wafuasi na Wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s).
4 Septemba 2024 - 04:40
Msimbo wa Habari: 1482801