Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Marasimu ya kupandisha Bendera ya Maombolezo yalifanyika katika mkesha wa kumbukumbu ya kifo cha kishahidi cha Imam Hassan al_Askari (a.s) kwa kuhudhuriwa na kundi kubwa la waombolezaji.
12 Septemba 2024 - 12:52
Msimbo wa Habari: 1484708