Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Sherehe ya kuzaliwa kwa "Rehma kwa Walimwengu" imefanyika sanjari na tarehe 17 Rabiul Awwal, kwa Mnasaba wa Wiki ya Umoja na kuzaliwa kwa Mtukufu Mtume wa Uislamu (s.a.w.w), pamoja na Rais wa Madhehebu ya Shia Ithna Ashari, Imam Jafar Sadiq (amani iwe juu yake). Marasimu hayo yamefanyika mbele ya wapenzi na wafuasi wa Familia ya Ahlul-Bayt wa Mtume (a.s) katika Kituo cha Kiislamu cha Moscow; Mji Mkuu wa Urusi.

21 Septemba 2024 - 15:44