Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s.) - ABNA - Sherehe ya kuzaliwa Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w) na Imamu Sadiq (a.s) ilifanyika mbele ya Wanachuoni wa Kishia na Kisunni katika Hawzat ya Mtoto wa Imam Yahya (a.s), katika Mji wa Sarpul, Afghanistan.

25 Septemba 2024 - 19:16