Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - kufuatia kuuawa Shahidi Hojjat-ul-Islami Wal-Muslimeen "Seyd Hassan Nasrullah", Katibu Mkuu wa Hezbollah nchini Lebanon, Bendera ya Kuba ya Haram Tukufu ya Imam Ridha (a.s) imebadilishwa na kuwa ya rangi nyeusi. Pia, mapambo katika maeneo yenye nafasi pana na wazi yalifanywa katika maudhui ya maombolezo na rambirambi zake katika Haram Tukufu ya Imam Ridha (a.s).
29 Septemba 2024 - 20:31
Msimbo wa Habari: 1489844