kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Kufuatia kuuawa Shahidi mshika bendera wa upinzani na uhuru wa Jerusalem na Palestina, Hojjat al-Islam wal_Muslimin Sayyid Hassan Nasrullah, na katika mkesha wa kumbukumbu ya mwaka wa kwanza wa sakata / tukio la "Mafuriko ya al-Aqsa" kupitia wapiganaji wa Muqawamah wa Kiislamu wa Palestina, Sala ya Ijumaa ya wiki hii hapa Tehran iliongozwa na Hazrat Ayatollah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi.

5 Oktoba 2024 - 07:09