Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Picha za Shahidi Syed Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hezbollah ya Lebanon, zimewekwa (zimesimikwa na kubandikwa) katika maeneo mbalimbali ya Baghdad, Mji Mkuu wa Iraq, kupitia juhudi kubwa za "Popular Mobilization Organization" / Shirika Maarufu la Uhamasishaji.
6 Oktoba 2024 - 17:25
Msimbo wa Habari: 1492167