Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Katika kumbukumbu ya mwaka wa kwanza wa Operesheni ya kimbunga ya Al-Aqsa na mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni, idadi kubwa ya wafuasi na watetezi wa Palestina walilaani vikali jinai za utawala huo wa Kizayuni na kuutaka kusitisha vita yake mara moja ambapo walieleza na kufikisha maoni yao kupitia kufanya maandamano ya amani huko Washington na New York.
9 Oktoba 2024 - 12:43
Msimbo wa Habari: 1493152