Kwa mujibu wa Shirika la habari la Ahl al-Bayt (AS) - ABNA - Kufuatia mashambulizi ya anga ya utawala haram wa Kizayuni katika maeneo mbalimbali ya Lebanon na Ghaza, idadi kubwa ya raia wa Marekani wamefanya maandamano na marasimu za kumbukumbu Mjini New York. Waandamanaji hao wamelaani jinai za utawala wa Kizayuni na kutaka kusitishwa mara moja kwa vita hiyo.
17 Oktoba 2024 - 16:35
News ID: 1495694