Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Kwa uwepo wa mahudhurio ya idadi kubwa ya Mashia na Wapenzi wa Ahlul_Bayt (a.s), Marasimu ya kumbukumbu ya Syed Hassan Nasrullah yamefanyika kwa mafanikio makubwa huko Antananarivo, Mji Mkuu wa Madagascar. Katika hafla hiyo, Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Madagascar na Dokta Syed Rahimi, Mwakilishi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa (s.a.w.w) katika nchini hiyo alitoa hotuba yake juu ya mnasaba huo.

22 Oktoba 2024 - 16:52