Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) -ABNA- Imam Khomeini (RA) aliielezea Israel kuwa ni "uvimbe wa saratani katika eneo la kikanda (Mashariki ya Kati)". Ukweli huu umeonyeshwa na Mchora Katuni wa Gazeti la Kimataifa la Al-Quds al-Arabi.
29 Oktoba 2024 - 02:21
Msimbo wa Habari: 1499125