Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Kufuatia ongezeko la ukatili na jinai za utawala wa Kizayuni, idadi kubwa ya watu wa Bosnia walikusanyika katika uwanja wa Bascharcia, kitovu cha utalii huko Sarajevo, Mji Mkuu wa nchi hii, na kuandamana mbele ya jengo la Bunge, wakilaani jinai za utawala haram wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza na Lebanon.
29 Oktoba 2024 - 16:50
Msimbo wa Habari: 1499388