Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Hezbollah ya Lebanon ilizindua Kituo cha Makombora cha chini ya Ardhi cha "Imad_5", kwa kusambaza video ya uzinduzi huo yenye kichwa cha Habari: "Hatutatoka uwanjani; na hatutaweka silaha zetu chini" .
4 Novemba 2024 - 10:27
Msimbo wa Habari: 1501129