Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - Abnya - Mashia wa Karachi, Pakistan, walikusanya misaada ya kifedha kwa ajili ya madhulumu wa Palestina na Lebanon pambizoni mwa Hafla za Maombolezo ya Siku 40 tangu Kuuawa Shahidi Sayyid wa Muqawamah (Sayyid Hassan Nasrullah) .

12 Novemba 2024 - 18:27