Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (s.a) - ABNA - Mchora Katuni wa gazeti la Kimataifa la "Al-Quds Al-Arabi" ameonyesha kutojali kwa viongozi wa Kiarabu kuhusu mauaji ya kimbari ya Gaza, na ameonyesha kuwa matunda ya Mikutano ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ni kwa ajili ya kutoa taarifa tu! (Kwamba tumekaa na tumekemea mauaji).
15 Novemba 2024 - 09:00
Msimbo wa Habari: 1504577