Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Marasimu ya maombolezo ilifanyika huko Kadhimaini katika Mnasaba wa kuwadia kwa Siku za Kifo cha Kishahidi cha Hadhrat Fatima Zahra (s.a).
16 Novemba 2024 - 09:50
Msimbo wa Habari: 1504840