Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Kwa mahudhurio makubwa ya kundi la Mashia na Wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s) wanaoishi nchini Ujerumani, yameshuhudiwa Marasimu ya Maombolezo ya Hazrat Zahra (s.a) yakifanyika katika Kituo cha Imam Sajjad (a.s) katikati mwa Mji wa Frankfurt (Ujerumani).

17 Novemba 2024 - 19:31