Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Wakati wa mkutano wa kilele wa Kundi la 20 huko Rio de Janeiro, Brazil, vyama na Wanaharakati wanaoiunga mkono Palestina walifanya maandamano kupinga jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza na Lebanon na kutaka kufanyika usitishaji wa vita mara moja.
19 Novemba 2024 - 16:28
News ID: 1506134